Native Swahili speaker specializing in conversational and kids and young learners Swahili
Niruhusu kujibu kwa kiswahili. Kwanza, mimi kama mwalimu huhimiza wanafunzi wangu kuzungumza, kusikiliza na kuwasiliana ili kujifunza kwa urahisi. Pili, ninalenga kufunza jinsi ya kuitumia lugha bali si kukariri kanuni tu bila kufahamu jinsi ya kuzitumia sharia hizo katika mawasiliano. Matumizi ya picha, ishara na vitendo pia hunirahisishia ufunzaji wa lugha ya Kiswahili hasa kwa wanafunzi wanaojifunza kwa mara ya kwanza. Ninapotumia mifano, nahakikisha kuwa ninaitoa mifano hiyo katika shughuli za maisha ya kila siku au mazingira anamoishi au kufahamu mwanafunzi. Aidha, teknolojia kwangu huwa ni nyenzo muhimu sana katika kufundisha, mifano ikiwa video na rekodi za sauti. Mwisho na muhimu zaidi, mimi huwashirikisha wanafunzi wangu katika somo kwa asilimia kubwa ya muda wa kipindi. Pili na mwisho, ninahikisha kuwa naweka uhusiano wa shughuli za ufunzaji na maisha halisi. Ninahakikisha kuna ushiriki ulio hai wa wanafunzi katika somo kwa mfano kwa njia ya kuigiza au kuwasiliana. Matumizi ya mbinu bunifu za lugha kama vile hadithi, nyimbo na maigizo ya vitendo mbalimbali huvifanya vipindi vyangu view vya kipekee. Aidha, mimi hutumia vifaa halisi katika kufundisha. Ninawahimiza wanafunzi wangu kuwa huru kujieleza kikamilifu.
I use an interactive approach for teaching Swahili, focusing on the student and their understanding of the Language. Students should expect engaging lessons that are catered for their specific needs.
Education
Undergraduate degree B.Ed Arts in English and Literature from Kenyatta University
No reviews yet. Be the first to leave one!
$7
per 60-minute lesson
$4 for 30 minutes · paid by the minute
Find the right teacher, free
Your first lesson with every teacher is free (20 minutes). If it isn't the right fit, try another teacher: their first lesson is free too.
For your protection, keep chats, bookings and payments on Swahili Tutors. Sharing contact details or paying off-platform voids your refund and booking protection.
Available 14 hours per week